- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Irani nchini Mhe.Mehdi Agha Jafari (kushoto)ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais,Ikulu jijini Dar es Salaam leo na kuaga baada ya muda wake wa kazi kumalizika nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Irani nchini Mhe.Mehdi Agha Jafari (kushoto) ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais,Ikulu jijini Dar es Salaam leo na kuaga baada ya muda wake wa kazi kumalizika nchini.
Comments
Post a Comment