MWANDISHI AANIKA SIRI NZITO ZA MAUAJI YA ALBINO KWENYE KITABU Posted by Unknown on September 14, 2017 KITAIFA
SOMA BARUA HII YA BINTI MTANZANIA ALIYEFUNGWA HONG KONG KWA DAWA ZA KULEVYA Posted by Maendeleo Vijijini on May 18, 2016 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Tatizo la usafirishaji wa dawa za kulevya linaendelea kuwa sugu licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania. Watanzania wengi wanatumikia vifungo mbalimbali kwenye magereza ya nje, hususan Hong Kong na China baada ya kukamatwa wakisafirisha dawa za kulevya. Hii ni barua ya ushuhuda wa dada mmoja Mtanzania ambaye amefungwa kwenye gereza mojawapo huko Hong Kong. Inasikitisha sana... Comments
Comments
Post a Comment