- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Jamani, nimepata taarifa za juu juu kwamba Katibu wa zamani wa Yanga, Mkurugenzi wa zamani wa Yanga SCL na Mwenyekiti wa sasa wa Chama cha Soka Mkoa wa Kagera, Jamal Emily Malinzi, amevaa viatu vya Tenga kwenye urais wa TFF akimshinda mpinzani wake Athumani Nyamlani.
Subirini matokeo kamili.
Comments
Post a Comment