Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga
akiangalia kitabu cha Muongozo wa Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali
wakati alipotembelea banda la Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
na Taasisi zake katika Viwanja vya Nyakabindi Simiyu.
Na Mwandishi Wetu, Simiyu
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kwa kipindi cha kati ya mwaka 2015 mpaka 2020
imetoa mikopo yanye thamani ya shilingi Bilioni 63.5 ikiwa ni sehemu ya huduma
za Wizara kwa jamii.
SOMA ZAIDI
Comments
Post a Comment