Na Daniel Mbega, Bariadi
Ubunifu na teknolojia mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa
katika kuendeleza Sekta ya Kilimo zimebadili taswira ya Maonesho ya Kilimo na
Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane mwaka 2020, ambayo sasa yamekuwa sehemu ya
mafunzo, furs ana kubadilisha mwelekeo wa sekta hiyo.
SOMA ZAIDI
Comments
Post a Comment