Prisca Joseph, Neema Yeremia kutoka kikundi cha Sauti ya Mwanamke chini ya SPRF, wakiwa na familia ya binti aliyefanyiwa ukatili wa kijinsia, kijijini kwao mangaa, ikungi, Kulia ni Mratibu wa Field wa Shirika lisilo la kiserikali la JIOKOE na UMASKINI ‘SPRF’ (yaani Stars of Poverty Rescue Foundation), Bernard Maira. (Picha na Dotto Mwaibale)
Na Dotto Mwaibale
Singida
“NILIZIBWA
mdomo wangu huku nikiwa nimekandamizwa kwa nguvu shingoni, yule kijana alikuwa
ameshika panga na akaniambia endapo nitathubutu kupiga kelele basi atakata
shingo yangu, sikuwa na msaada wowote, hatimaye alinibaka...nashindwa kusimulia
uchungu na maumivu makali niliyoyapata.”
SOMA ZAIDI
Comments
Post a Comment