Na Mwandishi Wetu, Bariadi
BENKI ya NMB
imetenga kiasi cha Dola za Marekani 817,204 (takriban Sh 1,920,429,400) kwa mwaka
2020 ambazo zitaelekezwa katika kuunga mkono juhudi za serikali kwenye ujenzi
wa maghala ya kuhifadhia mazao ya wakulima nchini kote.
SOMA ZAIDI
Comments
Post a Comment