Featured Post

MSAMAHA WA KODI YA VAT SEKTA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MAFUTA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Antony Mtaka (wa pili kulia) akiuliza maswali mbalimbli kuhusu miradi ya Ubia kati ya Sekta Binafsi na Umma. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Prof. Tadeo Satta, wa tatu kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Benny Mwaipaja, wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango, katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi, Mkoani Simiyu. (Picha na Peter Haule, WFM)

 

Na Farida Ramadhani na Peter Haule

Simiyu

SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeombwa kutoa msamaha wa kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa mafuta ya kupikia yanayozalishwa hapa nchini ili kuongeza uzalishaji wa bidhaa hiyo na tija kwa wenye viwanda.

SOMA ZAIDI

Comments