Bw. Daudi Magili Magolyo akiwa amesimama katika mojawapo ya mashine alizozitengeneza wakati wa Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima Nane Nane kwenye uwanja wa Nyakabindi mkoani Simiyu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati George Elias alipokuwa akisafisha mkonge kwa kutumia mashine iliyotengezwa Kishapu na mbunifu Daudi Magili Magolyo (hayupo pichani) wakati alipotembelea Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima Nane Nane kwenye uwanja wa Nyakabindi mkoani Simiyu, Agosti 8, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Bibi Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Na Daniel
Mbega, Bariadi
KAMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asingepita katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya
Kishapu na kukutana na ubunifu wa teknolojia ya hali ya juu, leo hii Daudi
Magili Magolyo ‘Nkende’ asingekuwa anafahamika kwa Watanzania kama ilivyokuwa
huko nyuma.
SOMA ZAIDI
Comments
Post a Comment