Featured Post

CRDB YATOA MIKOPO YA SH1.6 TRILIONI KUINUA SEKTA YA KILIMO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angela Kairuki, akimkabidhi hati ya trekta mkulima Raphael Kasawa ambaye ni mteja wa Benki ya CRDB, lenye thamani ya Sh65.5 milioni huku akishuhudiwa na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, katika viwanja vya Nyakabindi, Bariadi mkoani Simiyu wakati wa Maonesho ya 28 ya Kilimo na Sikukuu ya Wakulima Nane Nane 2020.

Na Daniel Mbega, Bariadi

BENKI ya CRDB imesema kwamba, kiwango cha mikopo kilichotolewa kwa sekta ya kilimo nchini kimepanda hadi Sh1.6 trilioni katika kipindi cha miaka mitatu tu hadi kufikia mwezi Juni 2020.

SOMA ZAIDI

Comments