Featured Post

CHUO CHA MATI MTWARA CHAZIDI KUNG'ARA KWENYE UTOAJI MAFUNZO

Mkufunzi na Msimamizi Mkuu wa Mashamba ya Chuo cha Kilimo MATI Mtwara, Luca Chiwalo, akizungumzia kilimo cha zao la korosho kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) waliotembelea shamba la chuo hicho hivi karibuni lililopo Naliendele mkoani humo. (Picha na Dotto Mwaibale).

 Na Dotto Mwaibale, Mtwara

CHUO cha Mafunzo ya Kilimo cha ‘Mati Mtwara’ kimezidi kung'ara na kusonga mbele kwa kupanua wigo kwenye eneo la mafunzo ya uzalishaji wa mazao ya kilimo, na sasa kipo mbioni kuboresha mfumo wake wauzalishaji mali ili kwenda sambamba na mahitaji ya soko.

SOMA ZAIDI

Comments