Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa
Kilimo TARI Naliendele, Dk. Fortunatus Kapinga (kushoto) akizungumza na wakuu wa
idara mbalimbali wa kituo hicho mwishoni mwa wiki, wakati walipokuwa wakikagua
mashamba ya mfano yaliopo Viwanja vya Maonesho Nanenane Ngongo mkoani Lindi
ikiwa ni maandalizi ya maonesho hayo ya Kanda ya Kusini yatakayoanza Agosti 1,
2020. (Picha na Dotto Mwaibale).
Na Dotto Mwaibale, Mtwara
KITUO cha Utafiti wa Kilimo TARI Naliendele kilichopo mkoani
Mtwara kinatarajia kuonesha teknolojia za kilimo za kuvutia katika Maonesho ya
Nanenane 2020 Kanda ya Kusini yatakayofanyika Viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
SOMA ZAIDI
Comments
Post a Comment