Na Waandishi Wetu, Dodoma
TAIFA linaendelea kuomboleza kifo cha Rais mstaafu Benjamin
Mkapa (82) huku akikumbukwa katika hafla mbili tofauti alizohudhuria mjini
Dodoma, alipotoa kauli zilizokuwa zikimpa Rais John Magufuli nguvu ya kusonga
mbele katika kuleta maendeleo.
SOMA ZAIDI
Comments
Post a Comment