Featured Post

UTOMVU NI DHAHABU NYINGINE INAYOPATIKANA KATIKA SHAMBA LA SAO HILL


Mkurugenzi wa Rasilimali Misitu na Nyuki TFS, Zawadi Mbwambo akitoa maelezo jinsi gani wanavyovuna utomvu kwa baadhi ya viongozi wa wilaya ya Chato,Mkoa wa Geita na viongozi wa vijiji vinavyolizunguka Shamba la Miti la Biharamulo lililopo mkoani Geita baada ya kutembelea Shamba la Miti Sao Hill linalosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimbali za uendeshaji katika shamba hilo...SOMA ZAIDI

Comments