Featured Post

KASI YA UTENDAJI WA RAIS DKT MAGUFULI YAMKIMBIZA DIWANI WA CUF PANGANI AJIUNGA CCM

 Katibu wa Idara ya Organization ya Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa Pereira Silima kulia akipokea kadi ya Chama cha wananchi (CUF) kutoka kwa aliyekuwa Diwani wa Kata ya Pangani Mashariki (CUF) Akida Boramimi baada ya kujiunga na chama hicho kwenye mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji...ZAIDI

Comments