Featured Post

BALOZI KIJAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MKUTANO WA SADC





Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  John Kijazi akisistiza jambo kwa Makatibu Wakuu wakati akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi  ya mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika  katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Agosti 17 na 18 mwaka huu ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa katika maandalizi, Mkutano huo utatanguliwa na  wiki ya viwanda kuanzia Agosti 5 hadi 8, 2019 na mikutano ya wataalamu wa kisekta.
Na Mwandishi Wetu- MAELEZO
KATIBU Mkuu Kiongozi Balozi  John Kijazi amesema maandalizi ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi ujao yanaridhisha...SOMA ZAIDI

Comments