- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
WAZIRI MPINA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA (NARCO) KUZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KAMPUNI KUTOKA RANCHI ZOTE NCHINI
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri wa Mifugo naUvuvi Mhe. Luhaga Mpina akizungumza na Wafanyakazi wa Kampuniya
Ranchi zaTaifa (NARCO) alipotembelea Makao Makuu ya kampuni hiyo Nzuguni, Dodoma,
leo Kushoto ni MenejaMkuuwa NARCO, Prof. PhilemoniWambura. Kulia ni Mratibu wa Dawati la
SektaBinafsi, Steven Michael.
Mratibu wa Dawati la Sekta Binafsi Wizara ya Mifugo naUvuvi, Bw.
Steven Michael akieleza nafasi ya Dawati la
Sekta Binafsi katika kuboresha uwekezaji kwenye Kampuni ya Ranchi zaTaifa, NARCO
(katikati) niWaziri waMifugonaUvuviMhe. Luhaga Mpina na Kaimu Meneja Mkuu wa NARCO,
Profesa Philemon Wambura
Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali watu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Bi. Teddy Njau akifafanua hoja mbalimbali kuhusuWatumishi wa Kampuni ya Ranchi
zaTaifa katika ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.
Luhaga Mpina alipotembea Makao Makuu ya NARCO, Nzugunijijini Dodoma.
Watumishi wa Kampuni ya Ranchi zaTaifa (NARCO) wakifuatilia kwa makini maelekezo yaWaziri
wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (hayupo pichani) alipotembelea makao makuuya NARCO
Nzuguni, Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiwa katika picha ya pamoja na Ma meneja wa
Ranchi zote zaTaifa baada ya kumaliz akikao cha
siku mbili kilichofanyika makao makuu ya NarcoNzuguni, Dodoma
wengine ni Kaimu Meneja Mkuu wa NARCO naWakurugenzi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Comments
Post a Comment