Featured Post

NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA

Ofisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Stephen Elisante, akimtazama mmoja wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi aliyekua akifunga kituturi cha kupigia Kura leo jijini Dodoma wakati wa mafunzo kwa vitendo ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018.

 Mafunzo kwa Vitendo yanayoendeshwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi yakiendelea jijini Dodoma kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.
 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.
Washiriki wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali wakati wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi akichangia na kuuliza maswali wakati wa wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.

PICHA / TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI - DODOMA

Comments