Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Rufaa), Semistocles Kaijage (katikati) akikagua eneo linapojengwa ghala la kuhifadhia vifaa vya uchaguzi akiwa ameambatana Wahandisi wa Mradi wa Ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka eneo la Njedengwa leo jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC) Jaji (Rufaa), Semistocles Kaijage (katikati) akizungumza na baadhi ya
Mafundi na Wahandisi wa Mradi wa Ujenzi
wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka TBA na Chuo Kikuu Ardhi
alipotembelea eneo la mradi wa ujenzi wa Ofisi hizo eneo la Njedengwa leo
jijini Dodoma. Wengine ni Wajumbe na Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Comments
Post a Comment