- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati
na Madini, Mhe. Dustan Kitandula akisikiliza hoja za wajumbe katika kikao cha
Kamati hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikuwa
inapokea taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu maendeleo na changamoto za
uendelezaji wa migodi ya makaa ya mawe nchini na taarifa kuhusu uwekezaji
katika madini ya kimkakati.
Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na
Madini, Mhe. Subira Mgalu akiwa na watendaji wake katika Kikao cha Kamati ya
Bunge ya Nishati kilichofanyika leo Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikuwa
inapokea taarifa ya wizara hiyo kuhusu maendeleo na changamoto za uendelezaji
wa migodi ya makaa ya mawe nchini na taarifa kuhusu uwekezaji katika madini ya
kimkakati.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na
Madini, wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi ya
Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikutana na watendaji wa Wizara ya
Niishati wakiongozwa na Naibu Waziri, Mhe. Subira Mgalu.
Comments
Post a Comment