Featured Post

VIDEO: JIFUNZE UFUGAJI WA KISASA NDANI YA SHAMBA LA SAMAKI RUVU



Ulaji wa samaki ni mdogo sana nchini Tanzania kutokana na samaki kuuzwa ghali, hali inayosababishwa na upatikanaji mdogo wa samaki.

Lakini tunapaswa kutambua kwamba ufugaji wa samaki ni muhimu kama ilivyo kilimo, kwa sababu siyo tu inaongeza tija kwa wakulima na wafugaji, lakini pia inazalisha malighafi kwa ajili ya viwanda vyetu.

Comments