Featured Post

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUFUKIA VIFUSI BARABARA YA HALTON




MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akishiriki kusambaza kifusi kilichowekwa kwa ajili ya kufukia kifusi kwenye eneo la Halton Makorora ambalo mtaro wake ulikatika na hivyo kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi hasa nyakati wa mvua.

 MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akishiriki kusambaza kifusi kilichowekwa kwa ajili ya kufukia kifusi kwenye eneo la Halton ambalo mtaro ulikatika na hivyo kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi hasa nyakati wa mvua.

 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku katika akiwa na Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CUF Taifa Masoud Omari kushoto wakifukia vifusi kwenye barabara ya Halton ili kuweza kuondoa kero ya wananchi kutokana na kuwepo kwa mtaro uliokatika

Comments