Komamanga, au kwa Kiingereza pomegranate (na kwa lugha ya kisayansi Punica granatum) ni miti ya matunda ambayo ni midogo inayokua kwa kimo cha kati ya meta 5 hadi 10.
Matunda yake yana mbegu nyingi sana na ni matamu ambapo yanaweza kutengenezwa juisi au vinywaji vikali kama wine.
Matunda haya yanastawi sehemu nyingi hapa nchini na yana faida nyingi kiafya.
Comments
Post a Comment