Mkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Livin Mosha akipokea sehemu ya vitabu vya usanifu majengo na ujenzi kutoka kwa Msanifu Majengo Mkongwe Anthony Almeida (wa pili kushoto) alivyokuwa akitumia enzi za kufanya kazi. Hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam Aprili mwishoni mwa wiki 2018. Pamoja nao (kushoto) ni Mkuu wa Idara ya Usanifu Majengo wa ARU, Dkt. Ombeni Swai na Mkuu wa Idara ya Mazingira ya Ndani ya Nyumba wa ARU, Dkt. Shubira Kalugila. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)
|
Comments
Post a Comment