Featured Post

WANAWAKE WA BAM INTERNATIONAL WAPIGWA MSASA WALIPOADHIMISHA SIKUKUU YA KIMATAIFA YA MWANAMKE DUNIANI


 Meneja Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International, Noreen Mazalla akiongea machache kumkaribisha mgeni rasmi, Mmiliki na Mhariri wa Gazeti la Bang, Imelda Mwamanga kuzunguza na wafanyakazi wanawake wa kampuni hiyo kuwahamasisha na kuwapa motisha wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Mwanamke duniani kwenye ufukwe wa Escape one jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Daktari Bingwa wa Maswala ya Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Janerose Manyahi na Mmiliki na Mhariri wa Gazeti la Bang, Imelda Mwamanga. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)

 Mmiliki na Mhariri wa Gazeti la Bang, Imelda Mwamanga akiwaonesha moja ya machapisho ya gaeti la Bhang wafanyakazi wanawake wa kampuni hiyo alipokuwa akizungumza nao kuwahamasisha na kuwapa motisha kujiamini na kuthamini uwezo wao wa kufanya kazi wakati wa sherehe ya siku ya Mwanamke duniani walivyoidhaminisha kwenye ufukwe wa Escape one jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Daktari Bingwa wa Maswala ya Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Janerose Manyahi na Meneja Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International Noreen Mazalla.



Sehemu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakifuatilia mada wa wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya mwananke duniani mwishoni mwa wiki.


Sehemu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakimsikiliza mtoa mada wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya mwananke duniani mwishoni mwa wiki.


 Mmiliki na Mhariri wa Gazeti la Bang, Imelda Mwamanga akizunguza na wafanyakazi wanawake wa kampuni hiyo kuwahamasisha na kuwapa motisha wa kujiamini na kuthamini uwezo wao wa kufanya kazi kama washindi wakati wa sherehe ya siku ya Mwanamke duniani walivyoidhaminisha kwenye ufukwe wa Escape one jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Daktari Bingwa wa Maswala ya Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Janerose Manyahi na Meneja Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International, Noreen Mazalla.

  
Sehemu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakimsikiliza mtoa mada wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya mwananke duniani mwishoni mwa wiki.




 Daktari Bingwa wa Maswala ya Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Janerose Manyahi akitoa mada kwa wafanyakazi wanawake wa kampuni hiyo kuhusiana na afya ya uzazi, hususani kansa ya kizazi wakati wa sherehe ya siku ya Mwanamke duniani walivyoidhaminisha kwenye ufukwe wa Escape one jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International, Noreen Mazalla na Mmiliki na Mhariri wa Gazeti la Bang, Imelda Mwamanga.



Sehemu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakimsikiliza afisa Mtendaji Mkuu wa BAM International alipotoa ujumbe kwa njia ya televisheni wakati wa wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya mwananke duniani mwishoni mwa wiki.


 Daktari Bingwa wa Maswala ya Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Janerose Manyahi (kushoto) na Meneja Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International, Noreen Mazalla wakiwaongoza wafanyakazi wa kampuni hiyo kupata chakula cha mchana wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya mwananke duniani mwishoni mwa wiki.


Sehemu ya wahandisi wa Kampuni ya Bama International wakiwa katika picha ya pamoja.


 Sehemu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakipata burudani wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya mwananke duniani mwishoni mwa wiki.



 Sehemu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiw katika picha ya pamoja wakati wa wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya mwananke duniani mwishoni mwa wiki.

Meneja Rasilimaliwatu wa Kampuni ya Bam International, Anne Durival (kulia) akipata picha na mmoja wa wafanyakazi wakati wa sherehe hiyo

 Meneja Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International, Noreen Mazalla (kushoto) Meneja Rasilimali watu, Anne Durival wakati wa sherehe hiyo. 

Comments