Nimesikitishwa na yaliyompata Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' kutokana na hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela kwa makosa aliyoyafanya.
Lakini najiuliza tu, hivi alidhamiria kweli au alipitiwa? Tena najiuliza, ni hulka au namna gani?
Nasema hivi kwa sababu unaweza kusema kwa kuteleza ikaonekana bahati mbaya lakini kama ukirudia mara mbili kunakuwa na maswali mengi.
Comments
Post a Comment