Featured Post

WILAYA YA GAIRO YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WAZAZI KUTOA CHAKULA CHA MCHANA MASHULENI

 Mhe. Mchembe akishiriki ugawaji chakula kwa wanafunzi Shule ya Msingi Kibedya mara baada ya kutembelea baadhi ya shule Kata ya Kibedya na Chakwale.
 
Wanafunzi wakipata chakula cha mchana.
  
Mkuu wa Wilaya ya Gairo akishiriki uchimbaji wa mtaro wa kutandaza mabomba. Waliopo nyuma yake ni Mhe. Maneno Diwani wa Chakwale na Mtendaji Kata ya Chakwale
Mhe. Mchembe akiongea na wananchi kuhamasisha umaliziaji wa madarasa 5 shule shikizi ya Iringa.
 Diwani wa Kata ya Mangapi Mhe. Maneno akiongea na wananchi. Waalimu wa mazoezi wote wa shule shikizi wanaishi nyumbani kwa Diwani kama familia.

Comments