Featured Post

MAKAMU WA RAIS APOKEA VIFAA MBALI MBALI VYA WALEMAVU KUTOKA SERIKALI YA KUWAIT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Vifaa vya Walemavu vilivyotolewa na Serikali ya Kuwait ,pichani ni Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al Najem (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya vifaa vya walemavu vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al Najem, wengine pichani ni Msaidizi wa Balozi wa Kuwait Bi. Zainab Ally (kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijaribu kusukuma kiti maalum cha magurudumu kwa ajili ya walemavu mara baada ya kukabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al Najem (kulia), wengine pichani ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa  na Msaidizi wa Balozi wa Kuwait nchini Bi. Zainab Ally. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

Comments