Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe
pamoja na viongozi wa mkoa wa Simiyu kama ishara ya ufunguzi wa jengo la Ofisi
ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima lenye vyumba 43 vya
kufanyia kazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Comments
Post a Comment