Featured Post

WAMILIKI WA SHULE MWANZA WATAKIWA KUKARABATI MAGARI YA WANAFUNZI

Jeshi la polisi mkoani Mwanza limewataka wamiliki wa shule binafsi mkoani Mwanza kuhakikisha wanafanya ukarabati wa magari ya kubebea wanafunzi yenye hitilafu ndani ya muda wa wiki moja.

Comments