Featured Post

UZINDUZI KAMPENI ZA CCM UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KINONDONI ZAFANA


 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba (kushoto), akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya Biafra, Dar es Salaam leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


 Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.

 TOT wakitumbuiza wakati wa mkutano huo


 Ni furaha meza kuu
 Bendi ya Vijana Jazz ikitumbuiza

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,, Stephen Wassira AKISALIMIANA NAMtulia





 Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kimara Chadema,  akirudisha kadi ya chama hicho na kujiunga na CCM
 Waliokuwa upinzani wakijiunga na CCM
Mtulia akiitambulisha familia yake

Comments