Balozi
wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaharu Yoshida akiweka jiwe la msingi
shamba la mafunzo ya Uandisi,Ujenzi na Umwagiliaji la Oljoro wilaya ya
Arumeru mkoa wa Arusha linalotumiwa na wanafunzi wa fani hiyo wa Chuo
cha Ufundi Arusha(ATC),kushoto ni Kaimu Mkuu wa chuo hicho,Dk Masudi
Senzia.
|
Comments
Post a Comment