Featured Post

HII NDIYO MIJI 13 YA GHARAMA NAFUU ZAIDI KUITEMBELEA ULAYA

Vilnius, Lithuania, ni miongoni mwa miji nafuu zaidi barani Ulaya kutembelea. Kikombe cha kahawa kinauzwa Dola 1.70 (Shs. 3,808). Picha na yegorovnick/Shutterstock

Post Office Travel Money mwaka 2016 ilitoa orodha yake ya Gharama ya Miji (City Costs Barometer), ikielezea miji nafuu na miji ghali zaidi barani Ulaya.
Ripoti hiyo ilionyesha orodha ya miji 35 barani Ulaya kuanzia ile ghali na iliyo nafuu, kulingana na jumla ya gharama kwa kuangali vitu 12 vya msingi katika safari ikiwemo mlo kamili pamoja na chupa ya mvinyo, kulala siku mbili katika hoteli ya nyota tatu kwa watu wawili, kutembelea vivutio na gharama za usafiri wa ndani.

Gharama za vitu vya kila siku kama kopo la soda, chupa ya bia, na kikombe cha kahawa pia ziliangaliwa.
Kumbuka tu kwamba, gharama hizi hazihusishi nauli ya kwenda katika nchi au miji husika wala Visa.
Ifuatayo ni miji 13 nafuu zaidi barani Ulaya ikionyesha pamoja na gharama zake:

13. Lille, Ufaransa— $245 (Shs. 539,000)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $103.66 (Shs. 228,052)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $11.35 (Shs. 24,970)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $9.88 (Shs. 21,736)
Kivutio kikuu cha utalii: Grand Place/Vieille Bourse (The Old Stock Exchange) — Bure
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $73.64 (Shs. 162,008)
Kahawa: $3.07 (Shs. 6,754)
Bia: $5.79 (Shs. 12,738)
Soda: $3.51 (Shs. 7,722)
Mvinyo: $4.54 (Shs. 9,988)
Jumla kuu: Shs. 539,000

12. Strasbourg, Ufaransa — $243 (Shs. 534,600)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $102.22 (Shs. 224884)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $9.76 (Shs. 21,472)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $9.76 (Shs. 21,472)
Kivutio kikuu cha utalii: Cathédrale Notre Dame de Strasbourg  — Bure
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $76.03 (Shs. 167,266)
Kahawa: $3.07 (Shs. 6,754)
Bia: $3.74 (Shs. 8,228)
Soda: $3.97 (Shs. 8,734)
Mvinyo: $5 (Shs. 11,000)
Jumla kuu: Shs. 534,600

11. Tallinn, Estonia — $230 (Shs. 506,000)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $97.90 (Shs. 215,380)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $4.54 (Shs. 9,988)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $5.67 (Shs. 12,474)
Kivutio kikuu cha utalii: Tallinn Town Hall — $5.67 (12,474)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $66.95 (Shs. 147,290)
Kahawa: $2.84 (Shs. 6,248)
Bia: $3.97 (Shs. 8,734)
Soda: $2.84 (Shs. 6,248)
Mvinyo: $5.38 (Shs. 11,836)
Jumla kuu: Shs. 506,000

10. Athens, Ugiriki — $214 (Shs. 470,800)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $90.70 (Shs. 199,540)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $11.35 (Shs. 24,970)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $10.21 (Shs. 22,462)
Kivutio kikuu cha utalii: Rock of Acropolis — $13.62 (Shs. 29,964)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $45.40 (Shs. 99,880)
Kahawa: $2.27 (Shs. 4,994)
Bia: $3.97 (Shs. 8,734)
Soda: $2.84 (Shs. 6,248)
Mvinyo: $5 (Shs. 11,000)
Jumla kuu: Shs. 660,195.20

9. Moscow, Russia — $210 (Shs. 462,000)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $82.07 (Shs. 180,554)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $12.91 (Shs. 28,402)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $6.15 (Shs. 13,530)
Kivutio kikuu cha utalii: St. Basil's Cathedral — $5.38 (Shs. 11,836)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $61.48 (Shs. 135,256)
Kahawa: $2.92 (Shs. 6,424)
Bia: $3.84 (Shs. 8,448)
Soda: $2.46 (Shs. 5,412)
Mvinyo: $5.69 (Shs. 12518)
Jumla kuu: Shs. 462,000

8. Prague, Jamhuri ya Czech — $204 (Shs. 448,800)
maziarz/Shutterstock
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $100.78 (Shs. 221,716)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $2.82 (Shs. 6,204)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $9.72 (Shs. 21,384)
Kivutio kikuu cha utalii: Prague Castle — $15.46 (Shs. 34,012)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $38.66 (Shs. 85,052)
Kahawa: $1.68 (Shs. 3,696)
Bia: $1.77 (Shs. 3,894)
Soda: $1.73 (Shs. 3,806)
Mvinyo: $1.99 (Shs. 4,378)
Jumla kuu: Shs. 448,800

7. Dubrovnik, Croatia — $197 (Shs. 433,400)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $59.12 (Shs. 130,064)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $10.97 (Shs. 24,134)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $9.40 (Shs. 20,680)
Kivutio kikuu cha utalii: Dubrovnik City Walls — $15.76 (Shs. 34,672)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $50.48 (Shs. 111,056)
Kahawa: $1.25 (Shs. 2,750)
Bia: $2.35 (Shs. 5,170)
Soda: $2.35 (Shs. 5,170)
Mvinyo: $4.69 (Shs. 10,318)
Jumla kuu: Shs. 433,400

6. Lisbon, Ureno — $194 (Shs. 426,800)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: ($79.31 (Shs. 174,472)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $3.19 (Shs. 7,018)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $13.64 (Shs. 30,008)
Kivutio kikuu cha utalii: Jerónimos Monastery — $11.36 (Shs. 24,992)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $56.83 (Shs. 125,026)
Kahawa: $0.79 (Shs. 1,738)
Bia: $1.47 (Shs. 3,234)
Soda: $1.59 (Shs. 3,498)
Mvinyo: $3.40 (Shs. 7,480)
Jumla kuu: Shs. 426,800

5. Krakow, Poland — $191 (Shs. 420,200)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $83.63 (Shs. 183,986)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $2.74 (Shs. 6,028)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $6.85 (Shs. 15,070)
Kivutio kikuu cha utalii: Wawel Royal Castle (The State Rooms) — $4.93 (Shs. 10,846) 
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $61.61 (Shs. 135,542)
Kahawa: $1.37 (Shs. 3,014)
Bia: $1.92 (Shs. 4,224)
Soda: $1.37 (Shs. 3,014)
Mvinyo: $2.74 (Shs. 6,028)
Jumla kuu: Shs. 420,200

4. Riga, Latvia — $190 (Shs. 418,000)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $60.56 (Shs. 133,232)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $2.61 (Shs. 5,742)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $11.36 (Shs. 24,992)
Kivutio kikuu cha utalii: Dome Cathedral — $3.40 (Shs. 7,480)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $79.55 (Shs. 175,010)
Kahawa: $2.84 (Shs. 6,248)
Bia: $2.84 (Shs. 6,248)
Soda: $2.84 (Shs. 6,248)
Mvinyo: $3.98 (Shs. 8,756)
Jumla kuu: Shs. 418,000

3. Budapest, Hungary — $177 (Shs. 389,400)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $62 (Shs. 136,400)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $10.86 (Shs. 23,892)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $12.79 (Shs. 28,138)
Kivutio kikuu cha utalii: Matthias Church — $5.81 (Shs. 12,782)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $42.45 (Shs. 93,390)
Kahawa: $1.74 (Shs. 3,828)
Bia: $2.13 (Shs. 4,686)
Soda: $1.36 (Shs. 2,992)
Mvinyo: $1.74 (Shs. 3,828)
Jumla kuu: Shs. 389,400

2. Vilnius, Lithuania — $166 (Shs. 365,200)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $72.10 (Shs. 158,620)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $2.28 (Shs. 5,016)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $7.92 (Shs. 17,424)
Kivutio kikuu cha utalii: Church of St. Anne — Bure
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $55.69 (Shs. 122,518)
Kahawa: $1.70 (Shs. 3,740)
Bia: $2.05 (Shs. 4,510)
Soda: $2.05 (Shs. 4,510)
Mvinyo: $2.96 (Shs. 6,512)
Jumla kuu: Shs. 365,200

1. Warsaw, Poland — $163 (Shs. 358,600)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $77.87 (Shs. 171,314)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $2.41 (Shs. 5,302)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $6.58 (Shs. 14,476)
Kivutio kikuu cha utalii: Royal Castle — Bure
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $41.08 (Shs. 90,376)
Kahawa: $2.74 (Shs. 6,028)
Bia: $2.19 (Shs. 4,818)
Soda: $1.64 (Shs. 3,608)
Mvinyo: $3.29 (Shs. 7,238)
Jumla kuu: Shs. 358,600



Comments