Featured Post

HII NDIYO MIJI 13 GHALI ZAIDI KUITEMBELEA BARANI ULAYA

Mji wa Reykjavik ni miongoni mwa miji ghali sana kulala kwa siku mbili barani Ulaya, kwa mujibu wa Post Office Travel Money. Picha na Dennis van de Water/Shutterstock

Post Office Travel Money mwaka 2016 ilitoa orodha yake ya Gharama ya Miji (City Costs Barometer), ikielezea miji nafuu na miji ghali zaidi barani Ulaya.
Ripoti hiyo ilionyesha orodha ya miji 35 barani Ulaya kuanzia ile ghali na iliyo nafuu, kulingana na jumla ya gharama kwa kuangali vitu 12 vya msingi katika safari ikiwemo mlo kamili pamoja na chupa ya mvinyo, kulala siku mbili katika hoteli ya nyota tatu kwa watu wawili, kutembelea vivutio na gharama za usafiri wa ndani.
Gharama za vitu vya kila siku kama kopo la soda, chupa ya bia, na kikombe cha kahawa pia ziliangaliwa.

Ifuatayo ni miji 13 ghali zaidi barani Ulaya ikionyesha pamoja na gharama zake:

13. Bruges, Belgium — $333 (Shs. 745,920)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $145.25 (Shs. 325,360)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $11.11 (Shs. 24,886.40)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $13.34 (Shs. 29,881.60)
Kivutio kikuu cha utalii: Belfry Tower — $11.11 (Shs. 24,886.40)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $100.03 (Shs. 224,067.20)
Kahawa: $2.78 (Shs. 6,227.20)
Bia: $3.89 (Shs. 8,713.60)
Soda: $2.78 (Shs. 6,227.20)
Mvinyo: $4.44 (Shs. 9,945.60)
Jumla kuu: Shs. 660,195.20

12. Paris, France — $376 (Shs. 827,200)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $156.53 (Shs. 350,627.20)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $21.67 (Shs. 48,540.80)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $20.17 (Shs. 45,180.80)
Kivutio kikuu cha utalii: Notre Dame — Bure
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $97.25 (Shs. 217,840)
Kahawa: $1.34 (Shs. 3,001.60)
Bia: $4.44 (Shs. 9,945.60)
Soda: $4.44 (Shs. 9,945.60)
Mvinyo: $4.73 (Shs. 10,595.20)
Jumla kuu: Shs. 827,200

11. Helsinki, Finland — $393 (Shs. 864,600)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $152.30 (Shs. 335,060)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $6.11 (Shs. 13,442)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $13.34 (Shs. 29,348)
Kivutio kikuu cha utalii: Suomelinma Museum — $7.78 (Shs. 17,116)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $134.93 (Shs. 296,846)
Kahawa: $3.33 (Shs. 7,326)
Bia: $6.67 (Shs. 14,674)
Soda: $2.78 (Shs. 6,116)
Mvinyo: $8.33 (Shs. 18,326)
Jumla kuu: Shs. 864,600


10. Barcelona, Hispania — $395 (Shs. 869,000)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $224.22 (Shs. 493,284)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $10 (Shs. 22,000)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $15.55 (Shs. 34,210)
Kivutio kikuu cha utalii: Sagrada Familia — $16.67 (Shs. 36,674)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $66.69 (Shs. 146,718)
Kahawa: $1.66 (Shs. 3,652)
Bia: $2.78 (Shs. 6,116)
Soda: $2.78 (Shs. 6,116)
Mvinyo: $3.33 (Shs. 7,326)
Jumla kuu: Shs. 869,000


9. Venice, Italia — $399 (Shs. 877,800)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $207.30 (Shs. 456,060)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $16.67 (Shs. 36,674)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $33.34 (Shs. 73,348)
Kivutio kikuu cha utalii: Basilica San Marco — $2.23 (Shs. 4,906)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $66.69 (Shs. 146,718)
Kahawa: $1.34 (Shs. 2,948)
Bia: $4.44 (Shs. 8,713.60)
Soda: $2.78 (Shs. 6,116)
Mvinyo: $2.78 (Shs. 6,116)
Jumla kuu: Shs. 877,800


8. Copenhagen, Denmark — $412 (Shs. 906,400)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $224.22 (Shs. 493,284)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $12.62 (Shs. 27,764)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $24.62 (Shs. 54,164)
Kivutio kikuu cha utalii: The Little Mermaid Statue — Bure
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $100.01 (Shs. 220,022)
Kahawa: $3.85 (Shs. 8,470)
Bia: $4.61 (Shs. 10,142)
Soda: $4 (Shs. 8,800)
Mvinyo: $8.46 (Shs. 18,612)
Jumla kuu: Shs. 906,400


7. London, Uingereza — $425 (Shs. 935,000)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $221.48 (Shs. 487,256)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $16.92 (Shs. 37,224)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $22.56 (Shs. 49,632)
Kivutio kikuu cha utalii: Tower of London — $35.25 (Shs. 77,550)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $68.39 (Shs. 150,458)
Kahawa: $2.61 (Shs. 5,742)
Bia: $5.15 (Shs. 11,330)
Soda: $3.45 (Shs. 7,590)
Mvinyo: $5.92 (Shs. 13.024)
Jumla kuu: Shs. 935,000


6. Amsterdam, Uholanzi — $428 (Shs. 941,600)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $230 (Shs. 506,000)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $9.40 (Shs. 20,680)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $13.98 (Shs. 30,756)
Kivutio kikuu cha utalii: Canal Cruise — $17.90 (Shs. 39,380)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $83.92 (Shs. 184,624)
Kahawa: $3.02 (Shs. 6,644)
Bia: $3.02 (Shs. 6,644)
Soda: $2.80 (Shs. 6,160)
Mvinyo: $4.03 (Shs. 8,866)
Jumla kuu: Shs. 941,600


5. Geneva, Uswisi — $433 (Shs. 952,600)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $222.90 (Shs.  490,380)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): Bure
Kadi ya usafiri kwa saa 48: Bure
Kivutio kikuu cha utalii: St. Peter's Cathedral (Eneo la historian a mnara) — $16.60 (Shs. 36,520)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $103.71 (Shs. 228,162)
Kahawa: $3.63 (Shs. 7,986)
Bia: $5.18 (Shs. 11,396)
Soda: $5.18 (Shs. 11,396)
Mvinyo: $103.71 (Shs. 228,162)
Jumla kuu: Shs. 952,600


4. Dublin, Ireland — $434 (Shs. 954,800)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $268.33 (Shs. 590,326)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $11.19 (Shs. 24,618)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $21.82 (Shs. 48,004)
Kivutio kikuu cha utalii: The Old Library & the Book of Kells, Trinity College — $11.19 (Shs. 24,618)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $134.43 (Shs. 295,746)
Kahawa: $2.68 (Shs. 5,896)
Bia: $6.37 (Shs. 14,014)
Soda: $3.35 (Shs. 7,370)
Mvinyo: $6.72 (Shs. 14,784)
Jumla kuu: Shs. 954,800


3. Oslo, Norway — $454 (Shs. 998,800)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $168.95 (Shs. 371,690)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $22.01 (Shs. 48,422)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $22.01 (Shs. 48,422)
Kivutio kikuu cha utalii: Norwegian Folk Museum — $15.28 (Shs. 33,616)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $134.43 (Shs. 295,746)
Kahawa: $5.14 (Shs. 11,308)
Bia: $11.24 (Shs. 24,728)
Soda: $5.99 (Shs. 13,178)
Mvinyo: $11.24 (Shs. 24,728)
Jumla kuu: Shs. 998,800


2. Reykjavik, Iceland — $457 (Shs. 1,005,400)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $184.57 (Shs. 406,054)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $24.14 (Shs. 53,108)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $17.25 (Shs. 37,950)
Kivutio kikuu cha utalii: The Settlement Exhibition — $12.07 (Shs. 26,554)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $134.46 (Shs. 295,812)
Kahawa: $4.47 (Shs. 9,834)
Bia: $7.77 (Shs. 17,094)
Soda: $3.45 (Shs. 7,590)
Mvinyo: $12.07 (Shs. 26,554)
Jumla kuu: Shs. 1,005,400


1. Stockholm, Sweden — $462 (Shs. 1,016,400)
Gharama za kulala kwa siku mbili kwa watu wawili wazima katika hoteli ya nyota tatu: $193.08 (Shs. 424,776)
Nauli ya basi/treni kwenda na kurudi (kutoka uwanja wa ndege): $24.53 (Shs. 53,966)
Kadi ya usafiri kwa saa 48: $28.49 (Shs. 62,678)
Kivutio kikuu cha utalii: Skansen Open-Air Museum — $14.86 (Shs. 32,692)
Mlo kamili (three-course meal) kwa watu wazima wawili na chupa ya mvinyo: $100.70 (Shs. 221,540)
Kahawa: $3.10 (Shs. 6,820)
Bia: $7.55 (Shs. 16,610)
Soda: $2.73 (Shs. 6,006)
Mvinyo: $10.53 (Shs. 23,166)
Jumla kuu: Shs. 1,016,400




Comments