Featured Post

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AONGOZA KIKAO CHA MASHAURIANO KUHUSU MAUDHUI NA KANUNI MPYA ZA HUDUMA YA UTANGAZAJI TANZANIA (TV, RADIO, BLOG, ONLINE TV)


 Baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii (Bloggers, Online Media) wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel (Katikati waliokaa), viongozi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya kumalizika kwa kikao cha mashauriano na Wadau kuhusu  huduma ya Utangazaji  (Maudhui) na kanuni za maudhui mitandaoni leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Kanuni  ziizojadiliwa ni maudhui yanayorushwa na vituo vya uatangazaji  vya Redio na Televisheni n maudhui mitandaoni (Online Content) Jumla ya vyombo vya habari 76 vilishiriki kwenye kikao hicho.

Wadau wamepewa wiki moja kuwasiliasha maoni yao kwenye kamati ya mashauriano ili yajadiliwe na kufanyiwa kazi kwa lengo la kuboresh kanuni/
 Wamiliki wa Wmiliki na wafanyakazi wa Vituo vya Televisheni na Radio wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel (Katikati waliokaa), viongozi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya kumalizika kwa kikao cha mashauriano na Wadau kuhusu  huduma ya Utangazaji  (Maudhui) na kanuni za maudhui mitandaoni leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza  kuhusu mambo mbalimbali waliyokubaliana katika kikao cha mashauriano na Wadau kuhusu  huduma ya Utangazaji  (Maudhui) na kanuni za maudhui mitandaoni leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam

 Wadaui wa habari wakiwa katika kikao hicho



 Meneja Mipango na Utafiti wa Sahara Media Group,  Nathan Rwehabura akichangia mada wakati wa kikao hicho, ambapo pia alilalamikia ada kubwa inayotozwa kwa mwaka wamiliki wa vituo vya TV ambayo ni Dola 25,000 sawa na Shs. 60 milioni.

 Dina Chahali wa Channel Ten akitafakari jambo katika kikao hicho
 Mkurugenzi mstaafu wa Utangazaji wa TCRA, Habby Gunze akifafanua jambo katika kiao hicho

 Wakili wa Jamii Forum Benedict akichangia mada wakati wa kikao hicho

  Mkuu wa Vipindi wa East Africa Radio, Nasser Kingu akichangia mada wakati wa kikao




Comments