Featured Post

BI. EMMANUELA MTATIFIKOLO KAGANDA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI


Bi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akikabidhiwa fomu na  Bw. Said Bakari wa  Idara ya Uhusiano wa kimataifa katika makao makuu ya CCM mtaa wa  Lumbumba jijini Dar es salaam.
Bi. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akitoka nje baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea nafasi hiyo makao makuu ya CCM mtaa wa  Lumbumba jijini Dar es salaam. Bi Kaganda alifika hapo akiwa peke yake na bila mbwembwe akiwa na imani kwamba dhamira yake ya kusimamia na kutetea maslahi ya kina mama na watoto katika jamii ni agenda yake itayomsimamia katika kinyang'anyiro hicho.

Comments