Featured Post

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI SITA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha Emanuel Nchimbi kuwa Balozi Nchini Brazili, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. James Msekela  kuwa Balozi Geneva –Umoja wa Mataifa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mbelwa Kairuki kuwa Balozi nchini China, Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Madafa kuwa Balozi nchini Italia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Elizabeth Kiondo kuwa Balozi nchini Uturuki. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Fatma Rajab  kuwa balozi nchini Qatar, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Mabalozi wateule wakila kiapo cha Uadilifu mara baada ya kuapishwa na Rais Dkt. John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. Wakwanza kulia ni Balozi Emanuel Nchimbi, Balozi Dkt. James Msekela  , Balozi Mbelwa Kairuki, Balozi George Madafa, Balozi Prof. Elizabeth Kiondo na Balozi Fatma Rajab.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mabalozi mbalimbali aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU

Comments