Featured Post

OLE WETU, HII NI NYAMA FEKI, YAWEZEKANA UMEKULA! - ANGALIA VIDEO HIZI JINSI WANAVYOITENGENEZA

Hii ni nyama feki.
Tazama video hizi:


Video hii inaonyesha lundo la nyama zilizokamatwa ambazo ni mchanganyiko wa nyama za mbweha, panya, nguruwe na wanyama wengine ambao ni haramu kuliwa na jamii nyingine. Nyama hizi zinatengenezwa Uchina na baadhi ya watu ambao husafirisha nje ya nchi hiyo na kuuzwa kwa bei kubwa katika maduka makubwa (super markets) na hoteli za kitalii.
Video hii inaonyesha namna nyama feki inavyotengenezwa kwa kutumia kitu kinachoitwa 'meat glue' ambacho ni kama ngundi, ambapo inapounganishwa na kemikali na vitu vingine inaonekana kama ni nyama.
Video hii inaonyesha namna nyama feki inanvyotengenezwa kwa kutumia 'wax'.





Comments