- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
WAFANYABIASHARA PAMOJA NA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WATAKIWA KUITUMIA KAMPUNI YA MWANA KUIMARISHA ULINZI WAO
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Kampuni ya Mwana (Mwana Company Ltd) ni Kampuni mpya inayojishughulisha na ufungaji wa vifaa vya ulinzi vya kisasa, lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi katika maeneo ya biashara pamoja na makazi ya watu.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mwanakwetu Leonard, amesema ni wakati mwafaka kwa wakazi na wafanyabiashara wa Jiji la Mwanza, kuhudumiwa na kampuni ya Mwana, ili kuimarisha ulinzi wao kwa njia mbalimbali ikiwemo kamera, fensi za umeme pamoja na kengele za tahadhari.
"Tuna vifaa vya kisasa ambavyo vinamuwezesha mteja wetu kuangalia kila ulinzi wa eneo lake kupitia simu ya mkononi hata akiwa akiwa mbali ikiwemo nje ya nchi". Amesema Mwana.
Na BMG
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard (kulia), akiwa na Mhariri wa Lake Fm Mwanza, Amos Gomba (kushoto), kwenye ofisi yake iliyopo Mtaa wa Uhuru karibu na Vizano Hotel Jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard, akikagua baadhi ya mikataba ya wateja wake.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard (kulia), akikabidhiana baadhi ya taarifa za kampuni hiyo na mwanahabari/blogger George Binagi (kushoto).
Comments
Post a Comment