- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Sungura mwenye afya bora huzaa watoto wengi
Watoto wadogo wa sungura baada ya kuzaliwa.
Na Daniel Mbega
IKIWA tayari umekwishaanzisha ufugaji wa sungura, mambo ya msingi kuzingatia
kwanza ni kuangalia tabia zao kwa sababu zinatofautiana kutoka eneo moja hadi
jingine.
Kwa kawaida,
sungura jike aliyeshika mimba hujulikana kwa mwenendo wake, huwa mtulivu, na
hula chakula kidogo.
Baada ya
siku 30 hadi 32 hujitoa manyoa yake kujenga kiota na huzaa siku chache baadaye.
Sungura kwa mara moja huweza kuzaa kati ya mtoto mmoja hadi watoto 15, lakini sungura
anayezaa watoto wengi ni sharti awe na afya njema la sivyo watoto hawa wanaweza
kufa kwa kukosa chakula cha kutosha.
Nimeelezea
katika makala zilizotangulia, kwamba katika mazingira
yao ya asili porini, sungura huzaliana kila baada ya wiki nne, lakini kwa hawa
wa kufuga unaweza kuwatengea kati ya wiki 5-9 na kuwapa siku 28 – 33 za kubeba
mimba hadi kuzaa.
PATA
MWONGOZO UTAKAOKUSAIDIA KATIKA UFUGAJI NA JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO
MBALIMBALI YAKIWEMO MAGONJWA.
WASILIANA
NA DANIEL MBEGA KWA SIMU HII +255 656 331974 ILI UPATE NAKALA YAKO SASA KWA
GHARAMA NAFUU KABISA YA SHS. 20,000/= TU!! … FUATA LINK HII UPATE MAELEZO
ZAIDI.
Comments
Post a Comment