Featured Post

VIDEO: WAVUMILIENI VIONGOZI WENU WA USHIRIKA, WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAAM...


Ushirika ukitumika vizuri utasaidia sana kukuza kilimo pamoja na kipato cha wakulima na taifa kwa ujumla.
Lakini katika miaka ya sasa ushirika umekuwa hauna manufaa makubwa kwa wakulima ambapo viongozi hufisidi vyama pamoja na kuwakopa wakulima mazao yao.

Comments