Featured Post

RASMI INIESTA AJIUNGA NA TIMU YA VISSEL KOBE YA JAPAN

Kiungo wa kimataifa wa Hispania, Andres Iniesta akiwa ameshika jezi namba 8 klabu ya Vissel Kobe inayocheza Ligi Kuu ya Japan baada ya kutambulishwa leo nchini humo kufuatia kusaini mkataba wa kujiunga nayo akitokea Barcelona alikodumu kwa miaka 22.

Comments