- Get link
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kulia) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Phillip Mangula (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kushoto)
pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Philip Mangula
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Wazazi (CCM) Dkt. Edmund Mndolwa, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa
Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana(UVCCM)
Herry James mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Dkt. Edmund Mndolwa, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake
wa Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa
Vijana(UVCCM) Herry James mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja
wa Vijana(UVCCM) Herry James mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Wazazi (CCM) Dkt. Edmund Mndolwa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Umoja wa Vijana(UVCCM) Herry James, Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU
Comments
Post a Comment