- Get link
- Other Apps
Featured Post
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA LUTENI JENERALI YAKUBU HASSAN MOHAMED KUWA MNADHIMU MKUU WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya Luteni Jenerali Yakubu Hassan
Mohamed ambapo awali alikuwa na cheo cha Meja Jenerali kabla hajamuapisha kuwa
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Yakubu Hassan
Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed akila Kiapo cha kuwa Mnadhimu
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni
Jenerali Yakubu Hassan Mohamed akizungumza mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati Maafisa Mbalimbali
wastaafu wa (JWTZ) walipokuwa wakizungumza mara baada ya tukio la uapisho Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la
Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed
mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi
mbalimbali wa habari waliofika kuripoti habari za Uapisho wa Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan
Mohamed Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Mbalimbali wa Jeshi waliopandishwa vyeo kutoka Brigedia
Jenerali na kuwa Meja Jenerali wakipiga makofi wakati wa hotuba za Maafisa
mbalimbali wastaafu wa JWTZ walipokuwa wakizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance
Mabeyo akiwavalisha vyeo vipya vya Meja Jenerali kutoka Cheo cha Brigedia
Jenerali maafisa mbalimbali wa Jeshi hilo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed mara baada ya Uapisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Wananchi akiwemo Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan
Mohamed watano kutoka kulia wakiwa wamepiga Saluti wakati Wimbo wa Taifa
ukipigwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania
(CDF) Jenerali Venance Mabeyo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed pamoja na Maafisa wengine
wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi ambao wamepandhishwa vyeo kutoka Cheo cha
Brigedia Jenerali na kupewa cheo kipya cha Meja Jenerali Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment