- Get link
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MAZIKO YA MWANASIASA MKONGWE MAREHEMU MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akijiandaa kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee
Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale
Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akisali mara baada ya kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiweka mchanga kwenye Kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu
ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuweka udogo kwenye kaburi la
marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam.
Wajukuu wa marehemu pamoja na wafiwa wengine wakiwa katika hali ya
majonzi makaburini hapo.
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa akiweka shada la
maua katika kaburi la marehemu Mzee
Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na waombolezaji mara baada ya maziko ya marehemu Mzee
Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU
Comments
Post a Comment