- Get link
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- Other Apps
RAIS Mteule wa Rotary International, Barry Rassin alipowasili kwenye Wodi ya watoto wenye mahitaji maalum iliyodhaminiwa na Rotary Clubs kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa ziara yake hospitalini hapo. |
Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans (kulia) akitoa maelezo kwa RAIS Mteule wa Rotary International, Barry Rassin (kushoto) na District Governor, Kenneth Mugisha. |
Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans (kulia) akitoa maelezo kwa RAIS Mteule wa Rotary International, Barry Rassin (kushoto) na District Governor, Kenneth Mugisha walipotembelea majengo mapya ya hospitali hiyo ambayo Rotary Clubs zimechangia ujenzi wake jijini Dar es Salaam. Pamoja nao ni viongozi wa Rotary Clubs. |
|
Rais Mteule wa Rotary International, Barry Rassin na mkewe Esther (wa tano kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Rotary Clubs, walipotembelea walipotembelea majengo mapya ya hospitali hiyo ambayo Rotary Clubs zimechangia ujenzi wake jijini Dar es Salaam. Pamoja nao ni viongozi wa Rotary Clubs na Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans (wa nne kushoto). |
Rais Mteule wa Rotary International, Barry Rassin na ujumbe wake wakiondoka baada ya kufanya ziara hospitali ya CCBRT. Anayewasindikiza (wa pili kushoto) ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans. |
Comments
Post a Comment