Featured Post

SERIKALI KUCHUKUA RANCHI ZISIZOENDELEZWA

 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akilakiwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga (DAS) Joseph Sura wakati alipofanya ziara ya siku moja wilayani humo.

 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga Rashid Gembe 
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akisalimiana na Mkuu wa Polisi wilaya ya Mkinga (OCD) kushoto ni Katibu Tawala wa Mkinga,Joseph Sura
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili wilayani Mkinga
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega kulia akimsikiliza kwa umakini Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga (DAS) Joseph Sura kushoto wakati akisoma taarifa ya wilaya hiyo
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akizungumza na watumishi wa wilaya hiyo kabla ya kuanza ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali wilayani humo

 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega akiagana na na Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga (DAS) Joseph Sura kulia mara baada ya kusaini kitabu cha wageni na kupata taarifa ya wilaya hiyo
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega akilakiwa na Diwani wa Kata ya Mwakijembe.
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega katikati akiteta jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga Rashid Gembe kulia ni Diwani wa Kata ya Mwakijembe
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi.Abdallah Ulega katikati akiteta jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga,Rashid Gembe
 NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na Jamii wa Wafugaji wa Kimasai na wakulima katika Kijiji cha Perani ambapo aliwataka kuishi kwa amani kwa kufuata taratibu ili kuepusha migogoro baina ya wakulima na wafugaji 

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema serikali itazirejesha ranchi zote zilizobinafsishwa na kushindwa kuziendeleza.
Amesema ranchi hizo zitagawiwa kwa wafugaji ili kufunguza tatizo la malisho nchini jambo.

Kauli ya Naibu Waziri huyo aliitoa wilayani hapa wakati wa ziara yake ya siku moja ambapo alisema kwamba lengo la kuchukua ranchi hizo ni kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ambao kwa mara kadhaa wamekuwa wakigombania maeneo ya ardhi kwa ajili ya malisho na kilimo.

Alisema kwamba serikali imeamua kuchukua uamuzi huo ili kuepusha wafugaji waishio mipakani wasipeleke mifugo yao katika nchi jirani ambako kuna malisho. 
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

Comments