Featured Post

TAASISI ZA KIFEDHA ZASHAURIWA KUWA NA MASHARTI NAFUU YA UTOAJI MIKOPO



Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akinunua moja ya mkoba uliotengenezwa na kikundi cha Jauki kwenye banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa mara baada ya kutembelea banda hilo wakati wa Maonesho ya 24 ya kilimo na sherehe za Nanenane katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya Manispaa ya Lindi.


Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akimtazama mnyama aina ya kakakuona wakati wa Maonesho ya 24 ya kilimo na sherehe za Nanenane katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya Manispaa ya Lindi

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akitembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali wakati wa Maonesho ya 24 ya kilimo na sherehe za Nanenane katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya Manispaa ya Lindi

Baadhi ya Wajasiliamali wakimsubiri Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi kutembelea katika banda lao wakati wa Maonesho ya 24 ya kilimo na sherehe za Nanenane katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya Manispaa ya Lindi

Comments