- Get link
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Unknown
on
- Get link
- Other Apps
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye,
akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114,
itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko
la ardhi na majanga mengine. Wengine ni Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya
Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu, ajali (UAC), Elliot Andrew na
Naibu Kamishna Rasilimali Watu wa Jeshi hilo, Billy Mwakatage (kulia). Uzinduzi
huo umefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye,
akikabidhiwa kipeperushi na Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali
inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu, ajali (UAC), Elliot Andrew(kushoto),
wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na
wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na
majanga mengine. Kulia ni Naibu Kamishna Rasilimali Watu wa Jeshi hilo, Billy
Mwakatage. Uzinduzi huo umefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es
Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye,
akionyesha kipeperushi wakati wa
Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa
za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine.
Wengine ni Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na
kuzuia Uhalifu, ajali S(UAC), Elliot Andrew na Naibu
Kamishna Rasilimali Watu wa Jeshi wa
jeshi hilo, Billy Mwakatage(kulia).Uzinduzi huo umefanyika leo Makao Makuu ya
Jeshi,jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye,
akionyesha mfano wa uwekaji stika yenye Namba ya Dharura 114, itakayobandikwa
kwenye vyombo vya usafiri na maeneo mengine kwa ajili ya kutumiwa
na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko
la ardhi na majanga mengine. Uzinduzi huo umefanyika leo, Makao Makuu ya Jeshi,
jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Maafisa
wa Jeshi waliohudhuria Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114,
itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko
la ardhi na majanga mengine, wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye (hayupo pichani) wakati wa
Mkutano na Waandishi wa Vyombo vya Habari. Uzinduzi huo umefanyika leo, Makao
Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye (watano
kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo, Viongozi
na Wadau walioshirikiana na Jeshi hilo kuwezesha Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114,
itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko
la ardhi na majanga mengine. Uzinduzi huo umefanyika leo, Makao Makuu ya Jeshi,
jijini Dar es Salaam.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, MAKAO
MAKUU
Comments
Post a Comment